Karibu kwenye Baibai
Baibai ni kampuni iliyoanzishwa kuja kufanya maisha yawe rahisi kwa kutatua changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku.
Changamoto Tulizozikabili
- Kutumia muda mrefu sokoni kupata bidhaa
- Kuuziwa bidhaa kwa bei kubwa
- Bidhaa isiyo na ubora
- Wasaidizi wa manunuzi kukosa kuaminika
- Wauzaji kutumia gharama kubwa za matangazo
Wanufaika wa Mfumo
Kwa Mnunuzi
Anaokoa muda na gharasa kwa kupata bidhaa kwa haraka (ndani ya dakika 3), yenye ubora na bei nafuu.
Kwa Muuzaji
Anapata wateja wa moja kwa moja bila gharama za matangazo.
Kwa Msaidizi
Anatengeneza kipato kwa wakati wake wa ziada.
Wasiliana Nasi
+255612283199
+255682759812
customer@baibai.co.tz